KOCHA TAIFA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA MAANGAMIZI
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ametaja kikosi cha wachezaji 21 kitakachocheza michezo yake ya kimataifa inayokuja. Kikosi hicho kimejumuisha wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi pamoja na wanaocheza ligi ya ndani. Makipa Aishi Manula Peter Manyika Ramadhan Kabwili Mabeki Boniphas Maganga Abdi Banda Gadiel Michael Kelvin Yondani Salim Mbonde Erasto Nyoni Adeyuni Salehe Viungo Himid Mao Hamis Abdallah Mzamiru Yassin Raphael Daud Simon Msuva Shiza Kichuya Ibrahim Ajib Morel Ergenes Abdul Hilal Hasan Washambuliaji Mbwana Ally Samatta Mbaraka Yusuph