KOCHA TAIFA STARS ATANGAZA KIKOSI CHA MAANGAMIZI

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ametaja kikosi cha wachezaji 21 kitakachocheza michezo yake ya kimataifa inayokuja. Kikosi hicho kimejumuisha wachezaji wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi pamoja na wanaocheza ligi ya ndani.

Makipa

  1. Aishi Manula
  2. Peter Manyika
  3. Ramadhan Kabwili
Mabeki
  1. Boniphas Maganga
  2. Abdi Banda
  3. Gadiel Michael 
  4. Kelvin Yondani
  5. Salim Mbonde
  6. Erasto Nyoni
  7. Adeyuni Salehe
Viungo
  1. Himid Mao
  2. Hamis Abdallah
  3. Mzamiru Yassin
  4. Raphael Daud
  5. Simon Msuva
  6. Shiza Kichuya
  7. Ibrahim Ajib
  8. Morel Ergenes
  9. Abdul Hilal Hasan
Washambuliaji
  1. Mbwana Ally Samatta
  2. Mbaraka Yusuph

Maoni